Comments for kwangila

Comment on KUNA HATARI YA KALONZO MUSYOKA KUWA RAIS? by excammebpaf
Очень полезно

Comment on KAMUSI YA ISIBATI by fidelis mutabazi
ndugu mtunzi,

kweli nimefurahishwa na muamko wako unaolenga kupanua matumizi ya kiswahili katika hisabati na fizikia. Pamoja na pongezi hizo ningekushauri kupekua vitabu mbali mbali vinavyotumika nchini Tanzania katika kueneza elimu ya msingi (Primary School Education). Kuna maneno mengi ya kitaalamu ya kiswahili ambayo yangekusaidia: kwa mfano kanuni (formula),tarakimu (digit),pembe/pembetatu (angle/triangle),mshazali (diagonal), sambamba (parallel),nyuzi (degree), na mengine mengi. Umeanza jambo jema lakini si haba kwangu kunena kuwa “mtaka cha uvunguni sharti ainame” kwani ukita chako “chema” kipate “kuelea” basi huna budi “kiundwe”. Nasema tena hongera kwa mwanzo mzuri

Comment on KAMUSI YA ISIBATI by kamusi.co.tz
kuna marekebisho mengi ya kiswahili hapa. nitaanza na jina la website yako…. kwa kiswahili sanifu, ni HISABATI, sio isabati  angalia hapa:

http://kamusi.co.tz/hisabati

Comment on HAMNA UBAKAJI KATIKA NDOA. by Dorothy Jebet
Kwa kusema ukweli, baadhi ya wanaume wana tabia mbaya mno. Mtu akishalewa anafika nyumbani saa nane za usiku akiwa ananuka kama samaki ambaye hajapikwa. Mume huyo huyo, atapampata mkewe akiwa amelala na atamuamsha akidai ‘haki’ yake. Hebu jiweke katika hali hii ya mwanamke mwenye mume sampuli hii! Wakati huo hata kama unampenda mumeo, tamaa ya mapenzi huwa imechomoka dirishani kwa sababu ya harufu mbaya mdomoni na soksi zake. Hakuna mwanamke anayependa kujaamiana na mwanaume anayenuka. Mume akishataka, hataki kujua kama umeudhishwa na chochote; atakurukia na kukumenya hata upige nduru. Katika kule kusukumana na kujaribu kukwepa mume, mwanamke atadai kuwa hakutaka kufanya tendo hilo na mumewe. Kuhusiana na hayo, nawasihi sana wanaume wawe wakijali maslahi ya wake zao ili kitendo hiki kisiwe chanzo cha ndoa kuvunjika. Mbona wewe mwanaume ukifika kutoka ulevini hutaki kusugua meno na kuosha miguu yako kabla ya kumparamia mama watoto? Hata kama ulilipa mahari ya ng’ombe 60 na kuku wawili, hiyo si kibali cha kumkosea heshima mkeo. Wanawake hupenda usafi kila mahali walipo, hata kitandani. Bibilia pia huenzi usafi.

Comment on KAMUSI YA ISIBATI by Emmy Nya7
Ningependa kuwaomba mnitumie msamiati  zaidi kwenye e-mail yangu!Kazi hii ni nzuri!!

Comment on KAMUSI YA ISIBATI by Emmy Nya7
Asante kwa kazi yako njema!

Ebu, jaribu kuto maelezo ya maneno mengi yapatikayo ktika isibati!!

Comment on HAMNA UBAKAJI KATIKA NDOA. by Ibrahim
Ahsanteni sana ndugu wachangiaji.Kila mtu anajitahidi kadri ya uwezo wake kuweka Elimu yake kutetea anayo ona sawa kwake.Amma Kweli Wahenga wamesema Akili ni Nywele Kila Mtu ana Zake.Kama vidole vitano ya kiganja havipatani hivyohivyo maoni na elimu pia haiwezi kuapatana.Lazima itatofautiana.KUHUSU SUALA YA MUME KUMBAKA MKE.

NAMI NAPENMDA KUCHANGIA KAMA IFUATAVYO.

MWANZILISHI WA NDOA NI MWENEYZI MUNGU.Kwa hiyo ndoa ni Ahadi kati ya M/Me na M/Mke.kila mmoja anajukumu la kuheshimu Ahadi hiyo.mwanaume anaye mwoa M/Mke kwa njia ya kisheriah na kumlipa MAHARI.Na M/Mke akishapokea hapo tayari Tupu ya M/Ke aliyepokea mahari inakuwa halali kwa M/me aliyemwoa.

kwahiyo M/Mke hana haki kumyima unyumba mume wake wakati wowote iwe mchana ua usiku.Mwanaume anayo haki kamili kustarehe na mwili wa mke wake wakati wowote atakayo.Au siyo?

Siku hizi kuna wanawake waliokosa mwongozo wa KIROHO wamekuwa kero mkubwa kwa wanaume zao.Pindi waki itwa kutimiza haja ya mume zao wao hutoa sababu za kipuuzi kama

wamechoka,wanakazi,wamekwisha oga,na mengi mengineo.

Mtume wa Waislamu amesema Mwanamke yeyote akiitwa na mume wake kukidhi haya yake kitadani,na mke akimkatalia bila udhuru za sheria kamwa kuwa katika siku zake n.k.basi mke huyu Malaika wanamlaani hadi asubuhi na katika hadithi nyingine analaaniwa na Malaika mpaka mume wake amridhie.

Sasa swali waweza kuingia kichwani nayo ni:

KWANINI MTUME WA WAISLAMU AMETILIA MKAZO JAMBO HILI NAMNA HII?.

Jibu la swali hii kwa ufupi napenda kuweka hivi sote tunafahamu wanadamu wote kimaumbile tumetofautiana sana.

Amma Siyo?.

kwahiyo kuna wanaume wanaweza kuvumilia wakikosa unyumba na kuna wanaume kamwe hawawezi kuvumilia.

Je! hii ni kweli au si kweli?.

Sasa napenda ku uliza Ki-Ungwana niambieni huyu mwanaume asiye weza kuvumilia afanye nini kati ya haya matatu?

1.Ajitese mwenyewe kwa kuvumilia hivyohivyo

2.Aende kwa malaya na kununua UKIMWI au

3.AMBAKE MKE WAKE ANAYEMYIMA UNYUMBA BILA SABABU ZA KISHERIAH YA DINI YAKE?.

SASA KUMWIGILIA MKE KWA KUTUMIA NGUVU TUTA ITA UBAKAJI?

MIMI NAAMINI KUMBAKA MWANAMKE AWE BINTI AU MKE WA MTU  NI KOSA LA JINAI,LAKINI MUME KUMWINGILIA MKE WAKE MWENEYWE KWA NGUVU NIAMBIENI NAYO ITAKUWA KOSA LA JINAI?

MAJIBU YA HAYA MASWALI JIBUNI WENYEWE.

NATARAJI NILIYOCHANGIA YATAKUWA YENYE MANUFAA JAPO KIDOGO KWA WALE WENYE TAFAKRI NZURI NA KUPENDA MAADILI MEMA.

Comment on KUNA HATARI YA KALONZO MUSYOKA KUWA RAIS? by James Mutua Kenya
Mimi nampenda sana Bwana Stephen Kalonzo Musyoka sababu kitu cha kwanza ni mtulivu,ame elimika vya kutosha na vile vile hana rekodi yoyote ya ufisadi.Wale wanao mshutumu kwamba eneo anaowakilisha limebaki nyuma kimaendeleo wajue Kalonzo hajawai kuwa rais.

Comment on KUNA HATARI YA KALONZO MUSYOKA KUWA RAIS? by JESUS
GOD’S WORD IS MORE PRESIOUS THAN MONEY, YOU ARE QUICKLY DIVIATING FROM YOUR PURPOSE IN LIFE, YOU ONCE SAID THESE WORD’S RAILA CAN LAY HIS LIFE DOWN FOR A BROTHER CAN U IN ANY WAY GO THROUGH WHAT HE WENT THOUGH IN THE NYAYO HOUSE TORCHER CHAMBER, AM NOT SAYING HE IS A SAINT BUT THE GUY HAS LITERALY SUFFERED FOR THE PEOPLE OF THIS COUNTRY, IF YOU ASK ME HE DESERVE TO BE HONOURED AND GIVEN THE SAME RESPECT WITH WHICH MANDIBA HAS BEEN GIVEN PLEASE THINK ALOT ABOUT THIS COMMENT.

Comment on KUNA HATARI YA KALONZO MUSYOKA KUWA RAIS? by JESUS
remember the covenant